Blogger Widgets
Esto music Tz | Members area : Register | Sign in

[PICTURE]HIZI NDIO PICHA ZA GARI JIPYA ALILONUNULIWA DIAMOND NA KAMPUNI YA COCACOLA

Tuesday, June 4, 2013

Share this history on :
16859d0ccbab11e29f3f22000a1f978e_7Ukikutana na Diamond mtaani akiwa na mchuma mpya wenye rangi nyeusi, usishtuke sana, jua ni courtesy of Cocacola.Inavyoonekana ni kuwa Cocaboy kama anavyojiita siku hizi, amenunuliwa gari jipya na wadhamini wake kampuni ya vichwaji ya Cocacola.
“Ya all ready know what it’s….. tukutane Fuel station!! #CocaCola Mumetishaaaaaa,” aliandika jana kwenye picha ya Instagram ya gari hilo likiwa na maganda yake.
“Chatin infront of my Small baby… on @channeloafrica interview at my clib,5df7e19acbb011e293af22000a9e05e8_7Siku nzima juzi jumapili, hitmaker huyo wa Kesho alikuwa busy kwenye interview na kituo cha runinga cha Channel Oaf471706cb8211e2896422000a1fb003_7
Ungana nasi Facebook Like page yetu hapa chini

Weka Maoni Yako Hapo Chini

Facebook Blogger Plugin by Esto Music Tz