Blogger Widgets
Esto music Tz | Members area : Register | Sign in

[NEWS]SOMA UJUE BIFU LINALOENDELEA KATI YA MWANA FA NA LADY J DEE KWENYE MTANDAO WA TWITTER

Sunday, June 9, 2013

Share this history on :
Photo: #Fahamu kinachoendelea katika ukurasa wa twitter huku Lady J dee ameamua kusema show ya mwana FA ni mwana Fatuma

Soma hizi twitts zake
#1:Jamani Mwana FAtuma na team yake wanasema show ya Anaconda ni fundraising heee heeee heee. Limited es

#2Boss Director maji ya shingo, katuma vibaraka kuua soo na vibaraka hawajui ukali wa moto wanaingia tu kichwa kichwa #FAtuma baby

#3:Yani nadeal na wewe leo tu, kesho narudi kwa Director / Boss wako. We sio hadhi yangu dogo sana nakufunza adabu only 4 few hrs 2

#4:Wanadai sina fans, nategemea fans wa MwanaFAtuma, jana walikuwa wapi kumshangilia? #Kujipa moyo kwapunguza stress

#5:Natafuta kiki? he hee heee mbona kiki imejileta automatic? Nilitangaza tar 31 mkaletwa baadae ili mpate kiki nyabe nyie

#6:Kiki anaetafuta ni yule aliesaidiwa chorus akawa hawezi kupanda Fiesta bila mimi analia, Leo analazimishiwa kiki mnanilaumu mimi..

Unaweza ukashea hii popote pale na wengine wafahamu  kinachoendelea sasa hivi katika ukurasa wa twitter .comSoma hizi twitts zake
#1:Jamani Mwana FAtuma na team yake wanasema show ya Anaconda ni fundraising heee heeee heee. Limited es

#2Boss Director maji ya shingo, katuma vibaraka kuua soo na vibaraka hawajui ukali wa moto wanaingia tu kichwa kichwa #FAtuma baby

#3:Yani nadeal na wewe leo tu, kesho narudi kwa Director / Boss wako. We sio hadhi yangu dogo sana nakufunza adabu only 4 few hrs 2

#4:Wanadai sina fans, nategemea fans wa MwanaFAtuma, jana walikuwa wapi kumshangilia? #Kujipa moyo kwapunguza stress

#5:Natafuta kiki? he hee heee mbona kiki imejileta automatic? Nilitangaza tar 31 mkaletwa baadae ili mpate kiki nyabe nyie

#6:Kiki anaetafuta ni yule aliesaidiwa chorus akawa hawezi kupanda Fiesta bila mimi analia, Leo analazimishiwa kiki mnanilaumu mimi..
Ungana nasi Facebook Like page yetu hapa chini

Weka Maoni Yako Hapo Chini

Facebook Blogger Plugin by Esto Music Tz