Blogger Widgets
Esto music Tz | Members area : Register | Sign in

[NEWS]:AY ADONDOSHA NGOMA MPYA

Friday, May 3, 2013

Share this history on :
Msanii maarufu kutoka Tanzania anaefanya vizuri katika Tasnia ya muziki wa bongo Fleva Nchini na Nje ya mipaka ya Tanzania Ambwene Yessaya AY ,anatarajia kuachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la JIPE SHAVU akiwa amemshirikisha  Fid Q   wimbo huo umetengenezwa katika studio Mpya itwayo Mpo Afrika chini ya Producer Q.AY aliskika akisema “Ijumaa ya May 3 naachia wimbo wangu mpya  nilioufanya na Fid Q baada ya kukamilika hivyo mashabiki wakae tayari kwa wimbo huo Ijumaa hii”AY anatarajia kuachia wimbo wake lakini mwezi uliopita msanii huyo alishirikiana na Mwanafalsafa MWANA FA pamoja na J Martin kutoka Nigeria na kutengeneza wimbo waliosema ungetoka mwishoni wa mwezi wa nne au mwanzoni wa mwezi huu wa tano baada ya kufanya Kichupa cha Wimbo huo.
Ungana nasi Facebook Like page yetu hapa chini

Weka Maoni Yako Hapo Chini

Facebook Blogger Plugin by Esto Music Tz