VERSE 1
Mujini Kipenzi, Silani Shilingi baby
Kupendana zamani ndo wanavyosemaga
Wazuri ni wengi , ila uongo mwingi baby
Wakishaviona vya ndani basi wanakumwaga
Ndo maana Ukichelewa dukani, mie kamoyo kananidundaga
Nawaza asije mangi jirani, akakuonga kilo ya unga aah
PRE KORASI
oooh Mbaya zaidi sina kazi, nakosa senti tano ya kipande
Bora nikuweke wazi, yanini nikufiche Gambe
Tumeumbiwa shida maradhi, ndo chanzo mpaka wengi wadande
Niweke wazi nikipi kinafanya Unipende
KORASI
Niambie , Tell me baby love,oooh Basi niambie
Vipi unanipenda ingali sina doo , Usije nitenda ukaniumiza Roho
VERSE 2
Siku hizi magari ya wakongo, mapesa mara nyumba mbezi
Usinichanganye na ubongo nidate kisa mapenzi
Sijakuwekea Ndumba, umenipendea rhumba
Vipi nikija Tunda oooooh oooh
Usije mgezea Punda, ukaniachia Ngunga
Wanakumendea Chunga oooh oooh
PRE KORASI
Mbaya zaidi sina kazi, nakosa senti tano ya kipande
Bora nikuweke wazi, yanini nikufiche Gambe
Tumeumbiwa shida maradhi, ndo chanzo mpaka wengi wadande
Niweke wazi nikipi kinafanya Unipende
KORASI
Niambie , Tell me baby love,oooh Basi niambie
Vipi unanipenda ingali sina doo , Usije nitenda ukaniumiza Roho
Umenipendea.... kipi mama,(basi sema ) Umenipendea ingali sina Doo