Soma hizi twitts zake#1:Jamani Mwana FAtuma na team yake wanasema show ya Anaconda ni fundraising heee heeee heee. Limited es
#2Boss Director maji ya shingo, katuma vibaraka kuua soo na vibaraka hawajui ukali wa moto wanaingia tu kichwa kichwa #FAtuma baby
#3:Yani nadeal na wewe leo tu, kesho narudi kwa Director / Boss wako. We sio hadhi yangu dogo sana nakufunza adabu only 4 few hrs 2
#4:Wanadai sina fans, nategemea fans wa MwanaFAtuma, jana walikuwa wapi kumshangilia? #Kujipa moyo kwapunguza stress
#5:Natafuta kiki? he hee heee mbona kiki imejileta automatic? Nilitangaza tar 31 mkaletwa baadae ili mpate kiki nyabe nyie
#6:Kiki anaetafuta ni yule aliesaidiwa chorus akawa hawezi kupanda Fiesta bila mimi analia, Leo analazimishiwa kiki mnanilaumu mimi..
