Blogger Widgets
Esto music Tz | Members area : Register | Sign in

New Audio l Wise One - Kidogo l Download Hapa

Saturday, August 30, 2014

Share this history on :


Wise One ni msanii anayefanya vizuri katika muziki wa kitanzania tumesha sikia nyimbo zake kadhaa zilizofanya vizuri mtandaoni,Redioni pia katika Television Kiukweli hii ni ngoma nzuri sanaa Idownload hapa najua utaipenda sana Wimbo unaitwa kidogo umefanyika studio ya Dreamz Records Dodoma chini ya Producer mkali anaitwa Sailas

KUDOWNLOAD
BOFYA HAPA
Ungana nasi Facebook Like page yetu hapa chini

Weka Maoni Yako Hapo Chini

Facebook Blogger Plugin by Esto Music Tz