Revolution kubwa ya music inayoendelea DODOMA inadhihirishwa na jinsi vijana wenye uchungu na maendeleo wanavyozidi kujituma, Backamaza ni Director wa video ambaye kwa sasa anaumiza vichwa vya wasanii wengi kutokana na ubora wakai anazofanya,Backamaza ambaye pia amefanya kazi na mshindi wa Fiesta super Nyota Dodoma,katika nyimbo kama I SAY na KILAZA pamoja na kazi nyingine kibaao ambazo zinafanya poa katika media za hpa Tz.Round hii amekuja na HIPHOP MIXING DOPEHOOD FRUCTURE, Baada ya kufanya ngoma ya msanii aneyekimbiza ndani na nje ya Dodoma,Andre k na Slogan kutoka ENO 7. ngoma inatwa BUSNESS GIRL,na hii ndo DEMO ya video hiyo HD TEASER, ambayo itakuwa kwa hewa soon.Akizungumza juu ya kazi hii,Backamaza amesema amejipanga kufanya kazi kali ndan ya mwaka huu namashabiki wake wakae tayari kwa mambo makubwa, pia amesema PROJECT hii imechelewa kwa sababu alikuwa bussy akifanya MOVIE kali ambayo ataanza kuipika soon na anasema itafanya poa maana amejipanga kufanya revolution kubwa. |
REVOLUTION YA INDUSTRY YA MUSIC IMEHAMIA DODOMA.
Sunday, October 6, 2013
Ungana nasi Facebook Like page yetu hapa chini
Facebook Blogger Plugin by Esto Music Tz