Blogger Widgets
Esto music Tz | Members area : Register | Sign in

NEWS:TAZAMA PICHA ZA KILICHOJIRI KATIKA MAZISHI YA KASH MSANII WA BONGO MOVIE ALIYEFARIKI JANA

Tuesday, June 11, 2013

Share this history on :
Wadau mbambali na wasanii wa movie wakiusindikiza mwili wa marehemu Kashi makaburi Kinondoni Muslim
wadau wakipeleka mwili makaburini
Wa,mama na wasanii wa movies wakiwa wanatafakari jambo.
shughuli za mazishi zikiendelea
Shughuli ya mazishi inaendelea

Hostaz wakiwa anamswalia Marehemu Kashi leo Kinondoni Muslim
ustaadh aliuswalia mwili wa marehemu kashi makaburi ya kinondoni muslim
IMG_4463
wadau wakiupeleka mwili  makaburini
Kaburi la marehemu Kashi leo, kabla ya mazishi
mahali ambapo mwili wa marehemu umehifadhiwa
IMG_4436IMG_4438IMG_4442IMG_4464Msanii wa movie akilia kwa uchunguMsanii wa Movie Claud akibadilishana mawazo na wasanii wenzake leo nyumbali kwa marehemu Kashi kabla ya mazishi.Mwili wa marehemu Kashi tayari umelazwa kaburini na wadau wanamwifadhi kwa kufukia.Mwili wa marehemu Kashi unapelekwa makaburini kinondoni Muslim kwa mazishiR.I.P DADA KASH TULIKUPENDA ILA MUNGU KAKUPENDA ZAID ILA NJIA NI MOJA
Ungana nasi Facebook Like page yetu hapa chini

Weka Maoni Yako Hapo Chini

Facebook Blogger Plugin by Esto Music Tz