Blogger Widgets
Esto music Tz | Members area : Register | Sign in

[NEWS]OMMY DIMPOZ ALIA NA GLOBAL PUBLISHERS

Friday, June 14, 2013

Share this history on :
Msanii anaetamba  na nyimbo yake ya me & you ambayo amemshirikisha Vannesa Mdee,ambapo nyimbo hiyo imepelekea kupata tuzo kadhaa katika KIL MUSIC AWARDS 2013.

Ommy Di,poz amesema” Nilipigiwa simu Ya kibiashara kwa ajili ya kufanya show na global publishers kwasababu Hatukuhafikiana kwenye malipo ndo wameamua kunichafua, Nimesikitishwa sana na Hii Habari iliyotoka global publishers Wanatengeneza story ili Wauze magazeti yaoEmbedded image permalink
Ungana nasi Facebook Like page yetu hapa chini

Weka Maoni Yako Hapo Chini

Facebook Blogger Plugin by Esto Music Tz