Blogger Widgets
Esto music Tz | Members area : Register | Sign in

[BAD NEWS]MWANAFUNZI AMCHINJA MPENZI WAKE BAADA YA KUFANYA MAPENZI

Sunday, May 5, 2013

Share this history on :
Picha Ya Marehemu Baada Ya Kuchinjwa

Imetokea kwenye jimbo la Niger, aliofanya unyama huo ni mwanafunz wa chuo cha Federal University of Mechnology Minna, anaitwa Godwin Edeko na ameshakamatwa na Niger state police, mtuhumiwa alijifungia ndani na msichana uyo kwa siku 3,majiranI walisikia kelele,na jamaa akakimbia,majiran walivyoona kimya wakaingia ndani na wakamkuta msichana amekatwa kichwa,uchunguz zaidi unaendele.
Sasa kama ni wivu wa mapenzi au ni kisa chochote sisi Habari Vyuoni tunatoa tahadhari kwa wapenzi wote walio katika vyuo vyetu tuwe makini na partners wetu wengine wanakuwa na background mbaya maishani mwao. Wengine wanakuwa na hasira kupita kiasi, na wengine wanaweza kuwa na tatizo la akili. Inatakiwa mfahamiane vizuri kablya hamjaingia kwenye mapenzi ya kuingia chumbani. Kitu kama hiki kilichotokea Niger kinaweza kutokea hata hapa Tanzania
Ungana nasi Facebook Like page yetu hapa chini

Weka Maoni Yako Hapo Chini

Facebook Blogger Plugin by Esto Music Tz