Blogger Widgets
Esto music Tz | Members area : Register | Sign in

(UTATA):KATI YA LADY J DEE NA CLOUDS FM UNAZIDI KWENDA MBELE J DEE AMEMUINGIZA NA BEN POL . BEN POL KACHARUKA SOMA HAPA

Wednesday, April 3, 2013

Share this history on :
578551_10151281152335025_1668082456_nKama siku mbili tatu hizi mwanadada Komando Lady Jay Dee (Jide) ambae anafanya fresh na ngoma yake ya Joto Hasira akiwa na Prof. Jay ameonekana akifunguka na kutoa ya moyoni, issue kubwa ni kuhusu nyimbo zake kutopigwa na kituo flani cha radio, leo amefunguka zaidi na kutaja wasanii wawili ambao walikatazwa kufanya show Nyumbani Lounge sehemu ambayo inamilikiwa na Jide.jiBen Pol (IamBenPol)jiii
Ungana nasi Facebook Like page yetu hapa chini

Weka Maoni Yako Hapo Chini

Facebook Blogger Plugin by Esto Music Tz