Blogger Widgets
Esto music Tz | Members area : Register | Sign in

(Audio):JACO BEATS-KILAZA (PROD BY JACO BEATS FROM CHOICE RECORDS)

Saturday, April 6, 2013

Share this history on :

ukizungumzia wasanii wanaojitahidi kuja kwa kasi nakujitaidi sana basi jaco beats anajitaidi,nyimbo hii imetoka ina siku mbili tu hewani ila inaskilizwa nakukubalika sana uenda Tanzania ikamuelewa sana mwaka huu nilijaribu kumtafuta JACO BEATS na aliweza kueleza''mziki umekuwa ni ndoto yangu maisha yangu yote ndo maana najitaidi sana kufanya vitu vizuri na vyenye ubora ili kuweza kuridhisha mashabiki wangu na nashkuru sana watu wanazidi kunisapoti kwa nyimbo yangu mpya ya kilaza na kesho ntakuwa location nikiifanyia video kwa iyo wawe tayari kwa video pia"
Ungana nasi Facebook Like page yetu hapa chini

Weka Maoni Yako Hapo Chini

Facebook Blogger Plugin by Esto Music Tz