Blogger Widgets
Esto music Tz | Members area : Register | Sign in

SIKU CHACHE BAADA YA KUZINDUA OFISI YAKE WATU WAPANGA NJAMA KUMTEKA WEMA SEPETU

Tuesday, February 26, 2013

Share this history on :
 SIKU CHACHE BAADA YA KUZINDUA OFISI YAKE WATU WAPANGA KUMTEKA WEMA SEPETU:   Ikiwa ni siku chache tu baada ya kufungua ofisi yake "endless fame", iliyoko maeneo ya mwananyamala, jana usiku wema alipokea sim na kutahadharishwa na msamaria mwema kuhusu kundi la watu waliokua wanamzungumzia kupanga njama ili wamteke watu ambao walikua moja ya bar iliyoko sinza inayoitwa shikamoo pesa bar
''jana mida ya jioni jioni hivi nilipokea sim kutoka kwa msamaria mwema akiniambia wema jihadhari,yaan baada tu ya kupokea tarifa hiyo i was shocked alafu mwisho wa siku ma haters kama wanataka kunijaribu,halafu mwisho wa siku kama vile hawawezi maana hawajui how well am prepared......."
wherever they are trying to do,should just understand that,wasije wakajikuta wao ndio wako in trouble,anayefanikiwa muombee mema sio unamdidimiza"alisema wema
Ungana nasi Facebook Like page yetu hapa chini

Weka Maoni Yako Hapo Chini

Facebook Blogger Plugin by Esto Music Tz